Crazytrigah
Crazytrigah

freestyle cypher

freestyle  cypher

74 Plays

โ€ข

14 Dec 2022

Ile time nilianza walitamani kunichinja Waladhani sitaweza kurudisha zile figa Skuizi chase niko zone na flex na mamita Waladhani mi na force wakasema najifanya Nilijifanya lakin kamba nilikaza Luku nikipiga wanacheki tu anasa Place nimefika hadi mnanitokea kwa njia nimewafungua macho wameona kwangu kuna nia Penye nia pana njia wameanza kunitegemea Nasiwezi kulegea wakiitisha nawapea Mkiitisha nawepea riba mikitaka minaweza ongezea Akili zenu nazifanya tu sadaka Ukiitisha sana unapewa hadi riba ikuje tu matanga Kafara kama sadaka sadakta mawazo yako tu kafara Akili zako zinasema uwashe tu radio Ziwezi kufichia uso ndo nisionekane kwa kioo Chance nipata naimada babaa Swaga minapiga macho yako balaa Yule boy baba yako anfikiria Ule boy huwa unatamani kila siku kumukarbia Ilie mziki ukiskiza ikiisha unasema dj rudia Rewind staki remix rewinde this beat rewinde Perfect music rewind uko fine kaa unataka riba tu rewinde Tukianza safari tulikiwa wangapi naplace nimefiga niulize tuko wangapi Watiaji wakule tu kidolecha cha kati staki kamati ya umati Ya kupotezea wakati , Wakati sinanga wakati ile wakati ya kubishana na watiaji tuliza na wakati ndo project zako zitafurahisha na umati Sipendi zile vitu zinakuja haraka bila kupoteza wakati Zinaeza potea bila kutulia na wakati Itisha upewe bila kupoteza wakati ,sawa sawa itisha kama uko na wakati Tuliza kisha chunga usipoteze wakati,sawa kwanza tafutana wakati Wale mamorio wa berge na makaki wale maboyz wa matiang'i kuniradhi Citizens wanateswa kila wakati tumechoka kwa news kila siku radio citzen Written zimekuja na wakati yenye umati kila siku inatolewa panty Fuliza mkopa mshwari wanatupa lakini bado crb ni mazishi Tuko mbio kwanza reffer usipulize kipyenga maybe buda kama ulibaki na kapyenga Haraka haraka haina baraka kwa wahenga suba subaa tena mwana si wako kwa wahenga Moja inatakana engine na majira ingine inataka mkuje tu kalesa Kuna moja unaeza chapa iende miss kunaingine inakata kwenda miss inahit Wakati poa ni ile ume tafuta na wakati lakini si poa ukorudia style kila wakati

10 Comments

Leave a comment

1 year ago

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ…ฐ๏ธ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡ Bars: Perfect ๐Ÿ’ฏ Delivery: Perfect ๐Ÿ’ฏ Impression: Perfect ๐Ÿ’ฏ

1 year ago

Itโ€™s a little distorted but I like the flow keep it up my guy!! Weโ€™re going to the top Bars: Great ๐ŸŽ‰ Delivery: Dope ๐Ÿ”ฅ Impression: Great ๐ŸŽ‰

1 year ago

Bars: Great ๐ŸŽ‰ Delivery: Great ๐ŸŽ‰ Impression: Dope ๐Ÿ”ฅ

You may also like