Ex

8 Plays

1 month ago

DEAR EX::)) Dear ex nimepata missed call yako naona umetry kunipigia, Kweli uko kwa any situation ama Kuna story unadai kuniambia, Or haukutosheka kwa hiyo pain nilipitia, Haukutosheka after kuona all the tears nilitoa nikilia. You make me to remember wakati tulikuwa tuna fight nikilean on the door nikilia we ulikuwa unatoka naunaenda, Pia unafanya nakumbuka the time nilichotwa na bank manze ulinihepa, All our favorite song nikiskiza the tears run out of my eyes, All the good place tushai enda they bring back the pain, Nilikuchukulia that you were my number 1 but kwako nilikuwa number 5, Ndio naheal sasa unataka kuniwacha nikiwa insane. (Pliz wachana na Mimi) #Akale Buzybwoy

1 Comments

Leave a comment

You may also like